Proverbs 15:25
Bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, 2 bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD will destroy the house of the proud: but he will establish the border of the widow.
In Context
24Mapito ya uzima huelekea juu kwa ajili ya wenye hekima 2 kumwepusha asiende chini kaburini. 1
26Bwana huchukia sana mawazo ya mwovu, 2 bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye. 1
Cross References
Deuteronomy 10:17Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.
Job 24:21Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto, 2 nao hawaonyeshi huruma kwa wajane. 1
Psalms 10:14Lakini wewe, Ee Mungu, unaona shida na huzuni, 2 umekubali kuyapokea mkononi mwako. 1 Mhanga anajisalimisha kwako, 2 wewe ni msaada wa yatima. 1
Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1
Psalms 138:6Ingawa Bwana yuko juu, 2 humwangalia mnyonge, 1 bali mwenye kiburi 2 yeye anamjua kutokea mbali. 1
Proverbs 12:7Watu waovu huondolewa na kutoweka, 2 bali nyumba ya mwenye haki husimama imara. 1