The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 22 › Ayubu 22:9

Ayubu 22:9

Umewafukuza wajane mikono mitupu 2 na kuzivunja nguvu za yatima. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou hast sent widows away empty, and the arms of the fatherless have been broken.

In Context

8ingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi: 2 mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake. 1

10Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote, 2 hatari ya ghafula inakutia hofu, 1

Read all of Ayubu 22

Cross References

Deuteronomy 27:19“Alaaniwe mtu apotoshaye haki ya mgeni, yatima au mjane.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Job 24:21Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto, 2 nao hawaonyeshi huruma kwa wajane. 1

Job 31:16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1

Psalms 10:15Vunja mkono wa mtu mwovu na mbaya, 2 mwite atoe hesabu ya maovu yake 2 ambayo yasingejulikana. 1

Psalms 94:6Wanamchinja mjane na mgeni, 2 na kuwaua yatima. 1

Isaiah 1:23Watawala wenu ni waasi, 2 rafiki wa wevi, 1 wote wanapenda rushwa 2 na kukimbilia hongo. 1 Hawatetei yatima, 2 shauri la mjane haliletwi mbele yao lisikilizwe. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 22:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 22:8Ayubu 22Ayubu 22:10 →