Ayubu 24:3
Huwanyangʼanya yatima punda wao, 2 na kumchukua rehani fahali wa mjane. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They drive away the ass of the fatherless, they take the widow’s ox for a pledge.
In Context
2Watu husogeza mawe ya mpaka; 2 huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 1
4Humsukuma mhitaji kutoka njia, 2 na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. 1
Cross References
Deuteronomy 24:6Usitoe jozi ya mawe ya kusagia, hata ikiwa lile la juu, kuweka rehani kwa ajili ya deni, kwa sababu itakuwa ni kuweka uhai wa mtu kama dhamana.
Deuteronomy 24:10Unapomkopesha jirani yako chochote, usiingie nyumbani kwake kutwaa kile anachokitoa kama rehani.
1 Samuel 12:3Mimi ninasimama hapa. Shuhudieni juu yangu mbele za Bwana na mpakwa mafuta wake. Nimechukua maksai wa nani? Nimechukua punda wa nani? Ni nani nimepata kumdanganya? Ni nani nimepata kumwonea? Ni kutoka kwenye mkono wa nani nimepokea rushwa ili kunifanya nifumbe macho yangu? Kama nimefanya chochote katika hivi, mimi nitawarudishia.”
Job 31:16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1