Ayubu 24:4
Humsukuma mhitaji kutoka njia, 2 na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They turn the needy out of the way: the poor of the earth hide themselves together.
In Context
3Huwanyangʼanya yatima punda wao, 2 na kumchukua rehani fahali wa mjane. 1
Cross References
Job 29:12kwa sababu nilimwokoa maskini aliyeomba msaada, 2 naye yatima aliyekuwa hana wa kumsaidia. 1
Job 31:16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1
Psalms 109:16Kwa maana kamwe hakuweza kutenda wema, 2 bali alimfukuza mnyonge na mhitaji, 2 aliwafanyia jeuri wahitaji na waliovunjika moyo. 1
Proverbs 28:12Mwenye haki ashindapo, kuna furaha kubwa, 2 bali waovu watawalapo, watu hujificha. 1
Proverbs 30:14wale ambao meno yao ni panga 2 na ambao mataya yao yamewekwa visu 1 kuwaangamiza maskini katika nchi, 2 na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu. 1
Ezekiel 18:12Huwaonea maskini na wahitaji. 1 Hunyangʼanyana. 1 Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. 1 Huziinulia sanamu macho. 1 Hufanya mambo ya machukizo. 1