Ayubu 26:10
Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, 2 ameweka mpaka wa nuru na giza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath compassed the waters with bounds, until the day and night come to an end.
In Context
9Huufunika uso wa mwezi mpevu, 2 akitandaza mawingu juu yake. 1
11Nguzo za mbingu nazo zatetemeka, 2 zinatishika anapozikemea. 1
Cross References
Job 38:8“Ni nani aliyeifungia bahari milango 2 ilipopasuka kutoka tumbo, 1
Job 38:11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; 2 hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 1
Psalms 33:7Ameyakusanya maji ya bahari 2 kama kwenye chungu; 1 vilindi vya bahari 2 ameviweka katika ghala. 1
Proverbs 8:29wakati aliiwekea bahari mpaka wake 2 ili maji yasivunje agizo lake, 1 na wakati aliweka misingi ya dunia. 2
Jeremiah 5:22Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. 2 “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? 1 Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, 2 kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. 1 Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; 2 yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 1