The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 26 › Ayubu 26:9

Ayubu 26:9

Huufunika uso wa mwezi mpevu, 2 akitandaza mawingu juu yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He holdeth back the face of his throne, and spreadeth his cloud upon it.

In Context

8Huyafungia maji kwenye mawingu yake, 2 hata hivyo mawingu hayapasuki kwa uzito wake. 1

10Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, 2 ameweka mpaka wa nuru na giza. 1

Read all of Ayubu 26

Cross References

Exodus 33:20Lakini Mungu akasema, “Hutaweza kuuona uso wangu, kwa kuwa hakuna mtu yeyote awezaye kuniona akaishi.”

1 Kings 8:12Ndipo Solomoni akasema, “ Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene;

Psalms 97:2Mawingu na giza nene vinamzunguka, 2 haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake cha enzi. 1

1 Timothy 6:16yeye peke yake ambaye hapatikani na mauti, na anakaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa, ambaye hakuna mwanadamu aliyemwona wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye milele. Amen.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 26:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 26:8Ayubu 26Ayubu 26:10 →