Yeremia 5:22
Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. 2 “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? 1 Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, 2 kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. 1 Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; 2 yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi, 2 wamegeukia mbali na kwenda zao. 1
Cross References
Deuteronomy 28:58Kama hutafuata kwa bidii maneno yote ya sheria hii, ambayo yameandikwa katika kitabu hiki na kama hutalicha hili jina la fahari na la kutisha, yaani la Bwana Mungu wako,
Job 26:10Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, 2 ameweka mpaka wa nuru na giza. 1
Job 38:10nilipoamuru mipaka yake, 2 na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake, 1
Psalms 33:7Ameyakusanya maji ya bahari 2 kama kwenye chungu; 1 vilindi vya bahari 2 ameviweka katika ghala. 1
Psalms 99:1Bwana anatawala, 2 mataifa na yatetemeke; 1 anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, 2 dunia na itikisike. 1
Psalms 119:120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, 2 ninaziogopa sheria zako. 2 Kuitii Sheria Ya Bwana 1