Job 26:13
Aliisafisha anga kwa pumzi yake; 2 kwa mkono wake alimchoma joka aendaye mbio. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By his spirit he hath garnished the heavens; his hand hath formed the crooked serpent.
In Context
Cross References
Genesis 1:2Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.
Psalms 74:13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; 2 ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji. 1
Isaiah 27:1Katika siku ile, 1 Bwana ataadhibu kwa upanga wake, 2 upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, 1 ataadhibu Lewiathani + 27:1 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, 2 Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; 1 atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini.