Genesis 1:2
Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo.
Cross References
Job 26:14Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; 2 tazama jinsi ulivyo mdogo mnongʼono tunaousikia kumhusu! 1 Ni nani basi awezaye kuelewa 2 ngurumo za nguvu zake?”
Psalms 33:6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, 2 jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 1
Psalms 104:30Unapopeleka Roho wako, 2 wanaumbwa, 2 nawe huufanya upya uso wa dunia. 1
Isaiah 45:18Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyeumba mbingu, 2 ndiye Mungu; 1 yeye aliyeifanya dunia na kuiumba, 2 yeye ndiye aliiwekea misingi imara, 1 hakuiumba ili iwe tupu, 2 bali aliiumba ikaliwe na viumbe vyake. 1 Anasema: 2 “Mimi ndimi Bwana, 2 wala hakuna mwingine. 1
Nahum 2:10Ameharibiwa, ametekwa nyara, ameachwa uchi! 2 Mioyo inayeyuka, magoti yanalegea, 1 miili inatetemeka, 2 na kila uso umebadilika rangi. 1