Ayubu 27:10
Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi? 2 Je, atamwita Mungu nyakati zote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Will he delight himself in the Almighty? will he always call upon God?
In Context
9Je, Mungu husikiliza kilio chake, 2 shida zimjiapo? 1
11“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu; 2 njia za Mwenyezi sitazificha. 1
Cross References
Psalms 14:4Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: 2 wale ambao huwala watu wangu 1 kama watu walavyo mkate, 2 hao ambao hawamwiti Bwana? 1
Psalms 43:4Ndipo nitakwenda madhabahuni pa Mungu, 2 kwa Mungu, furaha yangu na shangwe yangu. 1 Nitakusifu kwa kinubi, 2 Ee Mungu, Mungu wangu. 1
Habakkuk 3:18hata hivyo nitashangilia katika Bwana, 2 nitamfurahia Mungu Mwokozi wangu. 1
Luke 18:1Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
Ephesians 6:18Mkiomba kwa Roho siku zote katika sala zote na maombi, mkikesha kila wakati mkiwaombea watakatifu wote.