Ayubu 27:6
Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha; 2 dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; 2 hadi nife, sitakana uadilifu wangu. 1
7“Watesi wangu wawe kama waovu, 2 nao adui zangu wawe kama wasio haki! 1
Cross References
Job 2:3Bwana akamwambia Shetani, “Je, umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Hakuna mtu mwingine duniani aliye kama yeye, mtu asiye na hatia, ni mnyofu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu. Naye bado anadumisha uadilifu wake, ingawa ulinichochea dhidi yake, ili nimwangamize pasipo sababu.”
Job 31:7kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, 2 kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, 2 au kama mikono yangu imetiwa unajisi, 1
Proverbs 4:13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; 2 mshike, maana yeye ni uzima wako. 1
2 Corinthians 12:11Nimekuwa mjinga, lakini ninyi mmenilazimisha niwe hivyo. Kwa kuwa ilinipasa kusifiwa na ninyi, kwa sababu mimi si dhalili kuliko wale “mitume walio bora,” ingawa mimi si kitu.