Ayubu 28:15
Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote, 2 wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It cannot be gotten for gold, neither shall silver be weighed for the price thereof.
In Context
14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; 2 bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’ 1
Cross References
Proverbs 3:13Heri mtu yule aonaye hekima, 2 mtu yule apataye ufahamu, 1
Proverbs 8:17Nawapenda wale wanipendao, 2 na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. 1
Proverbs 16:16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, 2 kuchagua ufahamu kuliko fedha! 1