The Bible Software
bible.softwareJobJob 28 › Job 28:2

Job 28:2

Chuma hupatikana ardhini, 2 nayo shaba huyeyushwa kutoka mawe ya madini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Iron is taken out of the earth, and brass is molten out of the stone.

In Context

1“Kuna machimbo ya fedha, 2 na mahali dhahabu isafishwapo. 1

3Mwanadamu hukomesha giza; 2 huyatafuta hadi sehemu iliyo mbali, 1 kwa ajili ya kuchimbua mawe yenye madini 2 katika giza jeusi sana. 1

Read all of Job 28

Cross References

Genesis 4:22Pia Sila alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Tubali-Kaini ambaye alifua vifaa vya aina mbalimbali vya shaba na chuma. Naama alikuwa dada wa Tubali-Kaini.

Deuteronomy 8:9nchi ambayo chakula hakitapungua na hamtakosa chochote; nchi ambayo miamba yake ni chuma na mnaweza kuchimba shaba kutoka kwenye vilima.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 28:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 28:1Job 28Job 28:3 →