Genesis 4:22
Pia Sila alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Tubali-Kaini ambaye alifua vifaa vya aina mbalimbali vya shaba na chuma. Naama alikuwa dada wa Tubali-Kaini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi.
Cross References
Exodus 25:3Hizi ndizo sadaka utakazozipokea kutoka kwao: dhahabu, fedha na shaba;
Deuteronomy 8:9nchi ambayo chakula hakitapungua na hamtakosa chochote; nchi ambayo miamba yake ni chuma na mnaweza kuchimba shaba kutoka kwenye vilima.
2 Chronicles 2:7“Hivyo basi nitumie mtu mwenye ustadi wa kufanya kazi ya kutengeneza dhahabu na fedha, shaba na chuma, nyuzi za rangi ya zambarau, nyekundu na buluu, mwenye uzoefu wa kutia nakshi, ili afanye kazi Yuda na Yerusalemu pamoja na mafundi wangu wenye ustadi, ambao baba yangu Daudi aliwaweka.