Ayubu 28:3
Mwanadamu hukomesha giza; 2 huyatafuta hadi sehemu iliyo mbali, 1 kwa ajili ya kuchimbua mawe yenye madini 2 katika giza jeusi sana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Chuma hupatikana ardhini, 2 nayo shaba huyeyushwa kutoka mawe ya madini. 1
Cross References
Job 3:5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; 2 wingu na likae juu yake; 2 weusi na uifunike nuru yake. 1
Job 12:22Hufunua mambo ya ndani ya gizani, 2 na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana. 1
Proverbs 2:4na kama utaitafuta kama fedha 2 na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 1
Habakkuk 2:13Je, Bwana Mwenye Nguvu Zote hakuonyesha 2 kwamba kazi ya wanadamu ni mafuta tu kwa ajili ya moto, 1 na kwamba mataifa 2 yanajichosha bure? 1
Luke 16:8“Yule bwana akamsifu yule msimamizi dhalimu kwa jinsi alivyotumia ujanja. Kwa maana watu wa dunia hii wana ujanja zaidi wanapojishughulisha na mambo ya dunia kuliko watu wa nuru.