The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 28 › Ayubu 28:20

Ayubu 28:20

“Ni wapi basi hekima itokako? 2 Ufahamu hukaa wapi? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whence then cometh wisdom? and where is the place of understanding?

In Context

19Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, 2 wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi. 1

21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, 2 imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. 1

Read all of Ayubu 28

Cross References

Job 28:23Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima 2 na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa, 1

Proverbs 2:6Kwa maana Bwana hutoa hekima, 2 na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. 1

1 Corinthians 2:6Lakini miongoni mwa watu waliokomaa twanena hekima, wala si hekima ya ulimwengu huu au ya watawala wa dunia hii wanaobatilika.

James 1:17Kila kitolewacho kilicho chema na kilicho kamili, hutoka juu, na hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 28:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 28:19Ayubu 28Ayubu 28:21 →