The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 28 › Ayubu 28:19

Ayubu 28:19

Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, 2 wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The topaz of Ethiopia shall not equal it, neither shall it be valued with pure gold.

In Context

18Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; 2 thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu. 1

20“Ni wapi basi hekima itokako? 2 Ufahamu hukaa wapi? 1

Read all of Ayubu 28

Cross References

Exodus 28:17Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;

Proverbs 3:13Heri mtu yule aonaye hekima, 2 mtu yule apataye ufahamu, 1

Proverbs 20:15Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi, 2 lakini midomo inenayo maarifa 2 ni kito cha thamani kilicho adimu. 1

Revelation 21:20wa tano sardoniki, wa sita akiki, wa saba krisolitho, wa nane zabarajadi, wa tisa yakuti manjano, wa kumi krisopraso, wa kumi na moja hiakintho, wa kumi na mbili amethisto.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 28:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 28:18Ayubu 28Ayubu 28:20 →