Ayubu 28:5
Ardhi, ambako chakula hutoka, 2 chini hugeuzwa kwa moto; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As for the earth, out of it cometh bread: and under it is turned up as it were fire.
In Context
6yakuti samawi hutoka katika miamba yake, 2 nalo vumbi lake lina vipande vya dhahabu. 1
Cross References
Genesis 1:11Kisha Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo.
Psalms 104:14Huyafanya majani ya mifugo yaote, 2 na mimea kwa watu kulima, 2 wajipatie chakula kutoka ardhini: 1
Ezekiel 28:13Ulikuwa ndani ya Edeni, 2 bustani ya Mungu; 1 kila kito cha thamani kilikupamba: 2 akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, 2 krisolitho, shohamu na yaspi, 2 yakuti samawi, almasi na zabarajadi. 1 Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake 2 kulifanywa kwa dhahabu; 2 siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari. 1