Ayubu 28:6
yakuti samawi hutoka katika miamba yake, 2 nalo vumbi lake lina vipande vya dhahabu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The stones of it are the place of sapphires: and it hath dust of gold.
In Context
5Ardhi, ambako chakula hutoka, 2 chini hugeuzwa kwa moto; 1
7Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, 2 wala hakuna jicho la mwewe lililoiona. 1
Cross References
Job 28:16Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri, 2 kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa. 1
Isaiah 54:11“Ewe mji uliyeteswa, uliyepigwa kwa dhoruba na usiyetulizwa, 2 nitakujenga kwa almasi, nitaweka misingi yako kwa yakuti samawi. 1