Ayubu 29:14
Niliivaa haki kama vazi langu; 2 uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I put on righteousness, and it clothed me: my judgment was as a robe and a diadem.
In Context
13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, 2 nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 1
15Nilikuwa macho ya kipofu 2 na miguu kwa kiwete. 1
Cross References
Job 27:6Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha; 2 dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi. 1
Psalms 132:9Makuhani wako na wavikwe haki, 2 watakatifu wako na waimbe kwa furaha.” 1
Isaiah 59:17Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, 2 na chapeo ya wokovu kichwani mwake, 1 alivaa mavazi ya kisasi 2 naye akajifunga wivu kama joho. 1
Isaiah 62:3Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa Bwana, 2 taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako. 1
2 Corinthians 6:7katika maneno ya kweli na katika nguvu za Mungu, kwa silaha za haki za mkono wa kuume na za mkono wa kushoto;
1 Thessalonians 5:8Lakini kwa kuwa sisi ni wana wa mchana, basi tuwe na kiasi, tukijivika imani na upendo kama dirii kifuani na tumaini letu la wokovu kama chapeo.