The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 59 › Isaiah 59:17

Isaiah 59:17

Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, 2 na chapeo ya wokovu kichwani mwake, 1 alivaa mavazi ya kisasi 2 naye akajifunga wivu kama joho. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For he put on righteousness as a breastplate, and an helmet of salvation upon his head; and he put on the garments of vengeance for clothing, and was clad with zeal as a cloke.

In Context

16Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, 2 akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; 1 hivyo mkono wake mwenyewe 2 ndio uliomfanyia wokovu, 1 nayo haki yake mwenyewe 2 ndiyo iliyomtegemeza. 1

18Kulingana na kile walichokuwa wametenda, 2 ndivyo atakavyolipa 1 ghadhabu kwa watesi wake 2 na kisasi kwa adui zake, 2 atavilipa visiwa sawa na wanavyostahili. 1

Read all of Isaiah 59

Cross References

Job 29:14Niliivaa haki kama vazi langu; 2 uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 1

Psalms 94:1Ee Bwana, ulipizaye kisasi, 2 Ee Mungu ulipizaye kisasi, uangaze sasa. 1

Isaiah 11:5Haki itakuwa mkanda wake 2 na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake. 1

Isaiah 51:9Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1

Isaiah 63:15Tazama chini kutoka mbinguni ukaone 2 kutoka kiti chako cha enzi 2 kilichoinuliwa juu, kitakatifu na kitukufu. 1 Uko wapi wivu wako na uweza wako? 2 Umetuzuilia wema wako na huruma zako. 1

John 2:17Wanafunzi wake wakakumbuka kuwa imeandikwa: “Wivu wa nyumba yako utanila.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 59:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 59:16Isaiah 59Isaiah 59:18 →