The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 29 › Ayubu 29:17

Ayubu 29:17

Niliyavunja meno makali ya waovu, 2 na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I brake the jaws of the wicked, and plucked the spoil out of his teeth.

In Context

16Nilikuwa baba kwa mhitaji; 2 nilimtetea mgeni. 1

18“Nikafikiri, ‘Nitafia katika nyumba yangu mwenyewe, 2 nazo siku zangu zitakuwa nyingi kama chembechembe za mchanga. 1

Read all of Ayubu 29

Cross References

1 Samuel 17:35nilifuatia, nikampiga na nikampokonya kondoo kwenye kinywa chake. Aliponigeukia, nilimkamata nywele zake, nikampiga na kumuua.

Psalms 3:7Ee Bwana, amka! 2 Niokoe, Ee Mungu wangu! 1 Wapige adui zangu wote kwenye taya, 2 vunja meno ya waovu. 1

Psalms 124:3wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, 2 wangalitumeza tungali hai, 1

Proverbs 30:14wale ambao meno yao ni panga 2 na ambao mataya yao yamewekwa visu 1 kuwaangamiza maskini katika nchi, 2 na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 29:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 29:16Ayubu 29Ayubu 29:18 →