Ayubu 29:18
“Nikafikiri, ‘Nitafia katika nyumba yangu mwenyewe, 2 nazo siku zangu zitakuwa nyingi kama chembechembe za mchanga. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then I said, I shall die in my nest, and I shall multiply my days as the sand.
In Context
17Niliyavunja meno makali ya waovu, 2 na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. 1
19Mizizi yangu itafika mpaka kwenye maji, 2 nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha. 1
Cross References
Genesis 41:49Yosefu alihifadhi nafaka nyingi, mfano wa mchanga wa bahari, ilikuwa nyingi mno kiasi kwamba walishindwa kuweka kumbukumbu kwa sababu akiba ilizidi sana kupita kipimo.
Job 42:16Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne.
Psalms 91:16Kwa siku nyingi nitamshibisha 2 na kumwonyesha wokovu wangu.”
Jeremiah 49:16Vitisho vyako na kiburi cha moyo wako 2 vimekudanganya, 1 wewe unayeishi katika majabali ya miamba, 2 wewe unayedumu katika miinuko ya kilima. 1 Ujapojenga kiota chako juu sana kama cha tai, 2 nitakushusha chini kutoka huko,” 4 asema Bwana. 1
Habakkuk 2:9“Ole wake yeye ajengaye milki yake kwa mapato ya udhalimu, 2 awekaye kiota chake juu, 2 ili kukimbia makucha ya uharibifu! 1