The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:16

Yeremia 49:16

Vitisho vyako na kiburi cha moyo wako 2 vimekudanganya, 1 wewe unayeishi katika majabali ya miamba, 2 wewe unayedumu katika miinuko ya kilima. 1 Ujapojenga kiota chako juu sana kama cha tai, 2 nitakushusha chini kutoka huko,” 4 asema Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thy terribleness hath deceived thee, and the pride of thine heart, O thou that dwellest in the clefts of the rock, that holdest the height of the hill: though thou shouldest make thy nest as high as the eagle, I will bring thee down from thence, saith the LORD.

In Context

15“Sasa nitakufanya uwe mdogo miongoni mwa mataifa, 2 aliyedharauliwa miongoni mwa watu. 1

17“Edomu atakuwa kitu cha kuogofya; 2 wote wapitao karibu 1 watashangaa na kuzomea 2 kwa sababu ya majeraha yake yote. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Job 39:27Je, tai hupaa juu kwa amri yako 2 na kujenga kiota chake mahali pa juu? 1

Proverbs 18:21Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi, 2 nao waupendao watakula matunda yake. 1

Song of Solomon 2:14Hua wangu penye nyufa za majabali, 2 mafichoni pembezoni mwa mlima, 1 nionyeshe uso wako, 2 na niisikie sauti yako, 1 kwa maana sauti yako ni tamu, 2 na uso wako unapendeza. 1

Isaiah 14:13Ulisema moyoni mwako, 2 “Nitapanda juu hadi mbinguni, 1 nitakiinua kiti changu cha enzi 2 juu ya nyota za Mungu, 1 nitaketi nimetawazwa 2 juu ya mlima wa kusanyiko, 2 kwenye vimo vya juu sana vya Mlima Mtakatifu. 1

Isaiah 49:25Lakini hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa, 2 na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali. 1 Nitashindana na wale wanaoshindana nawe, 2 nami nitawaokoa watoto wako. 1

Jeremiah 48:28Ondokeni kwenye miji yenu, mkaishi katikati ya miamba, 2 enyi mnaoishi Moabu. 1 Kuweni kama huwa ambaye hutengeneza kiota chake 2 kwenye mdomo wa pango. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:15Yeremia 49Yeremia 49:17 →