Ayubu 29:20
Utukufu wangu utabakia kuwa mpya ndani yangu, 2 upinde wangu daima utaendelea kuwa mpya mkononi mwangu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My glory was fresh in me, and my bow was renewed in my hand.
In Context
19Mizizi yangu itafika mpaka kwenye maji, 2 nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha. 1
21“Watu walinisikiliza kwa tumaini, 2 wakingojea ushauri wangu kwa utulivu. 1
Cross References
Genesis 45:13Mwambieni baba yangu juu ya heshima yote niliyopewa huku Misri, na kuhusu kila kitu mlichokiona. Mleteni baba yangu huku haraka.”
Job 19:9Amenivua heshima yangu, 2 na kuniondolea taji kichwani pangu. 1
Psalms 3:3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; 2 umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 1
Psalms 103:5atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, 2 ili ujana wako uhuishwe kama wa tai. 1
2 Corinthians 4:16Kwa hiyo, hatukati tamaa. Ingawa utu wetu wa nje unachakaa, utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku.