The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 3 › Ayubu 3:15

Ayubu 3:15

pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, 2 waliozijaza nyumba zao kwa fedha. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Or with princes that had gold, who filled their houses with silver:

In Context

14pamoja na wafalme na washauri wa dunia, 2 waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 1

16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, 2 kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 1

Read all of Ayubu 3

Cross References

1 Kings 10:27Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.

Job 22:25ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, 2 naye atakuwa fedha yako iliyo bora. 1

Psalms 49:18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, 2 na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa, 1

Zephaniah 1:18Fedha yao wala dhahabu yao 2 hazitaweza kuwaokoa 2 katika siku hiyo ya ghadhabu ya Bwana. 1 Katika moto wa wivu wake 2 dunia yote itateketezwa, 1 kwa maana ataleta mwisho 2 wa wote wanaoishi katika dunia ghafula.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 3:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 3:14Ayubu 3Ayubu 3:16 →