The Bible Software
bible.softwareJobJob 3 › Job 3:21

Job 3:21

wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, 2 wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Which long for death, but it cometh not; and dig for it more than for hid treasures;

In Context

20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, 2 na hao wenye uchungu kupewa uhai, 1

22ambao hujawa na furaha, 2 na hushangilia wafikapo kaburini? 1

Read all of Job 3

Cross References

1 Kings 19:4lakini yeye mwenyewe akatembea mwendo wa kutwa nzima katika jangwa. Akafika kwenye mti wa mretemu, akakaa chini yake na kuomba ili afe. Akasema, “Yatosha sasa, Bwana, ondoa roho yangu, kwani mimi si bora kuliko baba zangu.”

Job 6:9kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, 2 kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali! 1

Job 11:20Bali macho ya waovu hayataona, 2 wokovu utawaepuka; 1 tarajio lao litakuwa ni hangaiko 2 la mtu anayekata roho.”

Ecclesiastes 4:2Nami nikasema kwamba wafu, 2 waliokwisha kufa, 1 wana furaha kuliko watu walio hai, 2 ambao bado wanaishi. 1

Jonah 4:8Wakati jua lilipochomoza, Mungu akautuma upepo wa hari wa mashariki, nalo jua likawaka juu ya kichwa cha Yona mpaka akazimia. Akatamani kufa, naye akasema, “Ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 3:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 3:20Job 3Job 3:22 →