Mhubiri 4:2
Nami nikasema kwamba wafu, 2 waliokwisha kufa, 1 wana furaha kuliko watu walio hai, 2 ambao bado wanaishi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore I praised the dead which are already dead more than the living which are yet alive.
In Context
Cross References
Job 3:11“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? 2 Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni? 1
Job 3:21wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, 2 wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa, 1
Ecclesiastes 2:17Kwa hiyo nikachukia maisha, kwa sababu kazi inayofanyika chini ya jua ilikuwa masikitiko kwangu. Yote hayo ni ubatili, ni kukimbiza upepo.
Ecclesiastes 9:4Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa! 1