Job 3:4
Siku ile na iwe giza; 2 Mungu juu na asiiangalie; 2 nayo nuru isiiangazie. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let that day be darkness; let not God regard it from above, neither let the light shine upon it.
In Context
5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; 2 wingu na likae juu yake; 2 weusi na uifunike nuru yake. 1
Cross References
Deuteronomy 11:12Ni nchi ambayo Bwana Mungu wenu anaitunza; macho ya Bwana Mungu wenu yanaitazama daima kutoka mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Amos 5:18Ole wenu ninyi mnaoitamani 2 siku ya Bwana! 1 Kwa nini mnaitamani siku ya Bwana? 2 Siku hiyo itakuwa giza, si nuru. 1
Acts 27:20Kulipokuwa hakuna kuonekana kwa jua wala nyota kwa siku nyingi, nayo dhoruba ikiwa inaendelea kuwa kali, hatimaye tulikata kabisa tamaa ya kuokoka.