Job 3:5
Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; 2 wingu na likae juu yake; 2 weusi na uifunike nuru yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Siku ile na iwe giza; 2 Mungu juu na asiiangalie; 2 nayo nuru isiiangazie. 1
Cross References
Deuteronomy 4:11Mlisogea karibu na mkasimama chini ya mlima wakati ulipowaka moto mpaka mbinguni juu, pamoja na mawingu meusi na giza nene.
Job 10:22nchi ya giza kuu sana, 2 yenye uvuli wa giza na machafuko, 2 mahali ambapo hata nuru ni giza.”
Job 24:17Kwa wote hawa, giza nene ndiyo asubuhi yao; 2 hujifanya rafiki na vitisho vya gizani. 1
Job 34:22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, 2 ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha. 1
Psalms 23:4Hata kama nikipita katikati 2 ya bonde la uvuli wa mauti, 1 sitaogopa mabaya, 2 kwa maana wewe upo pamoja nami; 1 fimbo yako na mkongojo wako 2 vyanifariji. 1
Psalms 107:10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, 2 wafungwa wakiteseka katika minyororo, 1