Ayubu 3:6
Usiku ule na ushikwe na giza kuu; 2 usihesabiwe katika siku za mwaka, 2 wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; 2 wingu na likae juu yake; 2 weusi na uifunike nuru yake. 1
7Usiku ule na uwe tasa; 2 sauti ya furaha na isisikike ndani yake. 1