Job 3:7
Usiku ule na uwe tasa; 2 sauti ya furaha na isisikike ndani yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lo, let that night be solitary, let no joyful voice come therein.
In Context
Cross References
Isaiah 13:20Hautakaliwa na watu kamwe 2 wala watu hawataishi humo kwa vizazi vyote. 1 Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake huko, 2 hakuna mchungaji atakayepumzisha makundi yake huko. 1
Jeremiah 7:34Nitazikomesha sauti za shangwe na furaha, na sauti za bwana arusi na bibi arusi katikati ya miji ya Yuda na barabara za Yerusalemu, kwa sababu nchi itakuwa ukiwa.