Ayubu 30:11
Sasa kwa kuwa Mungu ameilegeza kamba ya upinde wangu na kunitesa, 2 wamekuwa huru kunitendea waonavyo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Because he hath loosed my cord, and afflicted me, they have also let loose the bridle before me.
In Context
10Wananichukia sana na kujitenga nami, 2 wala hawasiti kunitemea mate usoni. 1
12Kuume kwangu kundi linashambulia; 2 wao huitegea miguu yangu tanzi, 2 na kunizingira. 1
Cross References
Ruth 1:21Mimi niliondoka hali nimejaa, lakini Bwana amenirudisha mtupu. Kwa nini kuniita Naomi? Bwana amenitendea mambo machungu; Mwenyezi ameniletea msiba.”
Job 12:18Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, 2 na kuwafunga mishipi ya kiunoni. 1
Psalms 32:9Usiwe kama farasi au nyumbu 2 wasio na akili, 1 ambao ni lazima waongozwe kwa lijamu na hatamu 2 la sivyo hawatakukaribia. 1
Matthew 26:67Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi
James 1:26Kama mtu akidhani ya kuwa anayo dini lakini hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hujidanganya moyoni mwake, wala dini yake mtu huyo haifai kitu.