Ayubu 30:12
Kuume kwangu kundi linashambulia; 2 wao huitegea miguu yangu tanzi, 2 na kunizingira. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Huizuia njia yangu, 2 nao hufanikiwa katika kuniletea maafa, 2 nami sina yeyote wa kunisaidia. 1
Cross References
Job 19:18Hata watoto wadogo hunidhihaki; 2 ninapojitokeza, hunifanyia mzaha. 1
Isaiah 3:5Watu wataoneana wao kwa wao: 2 mtu dhidi ya mtu, na jirani dhidi ya jirani yake. 1 Kijana atainuka dhidi ya mzee, 2 mtu mnyonge dhidi ya mtu mwenye heshima. 1