Ayubu 30:16
“Sasa maisha yangu yamefikia mwisho; 2 siku za mateso zimenikamata. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And now my soul is poured out upon me; the days of affliction have taken hold upon me.
In Context
17Usiku mifupa yangu inachoma; 2 maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 1
Cross References
Job 3:24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; 2 kusononeka kwangu kunamwagika kama maji. 1
Psalms 22:15Nguvu zangu zimekauka kama kigae, 2 ulimi wangu umegandamana 2 na kaakaa la kinywa changu, 1 kwa sababu umenilaza 2 katika mavumbi ya kifo. 1
Psalms 42:4Mambo haya nayakumbuka 2 ninapoimimina nafsi yangu: 1 Jinsi nilivyokuwa nikienda na umati wa watu, 2 nikiongoza maandamano kuelekea kwenye nyumba ya Mungu, 1 kwa kelele za shangwe na za shukrani 2 katikati ya umati uliosherehekea. 1