Ayubu 30:17
Usiku mifupa yangu inachoma; 2 maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My bones are pierced in me in the night season: and my sinews take no rest.
In Context
16“Sasa maisha yangu yamefikia mwisho; 2 siku za mateso zimenikamata. 1
18Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; 2 hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu. 1
Cross References
Job 7:4Wakati nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ 2 Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko. 1
Psalms 6:2Unirehemu Bwana, 2 kwa maana nimedhoofika; 1 Ee Bwana, uniponye, 2 kwa maana mifupa yangu 2 ina maumivu makali. 1
Psalms 38:2Kwa kuwa mishale yako imenichoma, 2 na mkono wako umenishukia. 1