Ayubu 3:24
Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; 2 kusononeka kwangu kunamwagika kama maji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For my sighing cometh before I eat, and my roarings are poured out like the waters.
In Context
23Kwa nini uhai hupewa mtu 2 ambaye njia yake imefichika, 2 ambaye Mungu amemzungushia boma? 1
25Lile nililokuwa naliogopa limenijia; 2 lile nililokuwa ninalihofia limenipata. 1
Cross References
Job 6:7Ninakataa kuvigusa; 2 vyakula vya aina hii hunichukiza. 1
Job 33:20kiasi kwamba maisha yake yenyewe yanakataa chakula 2 nayo nafsi yake ikakichukia kabisa hata chakula kizuri. 1
Psalms 32:3Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa 2 kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa. 1
Psalms 42:3Machozi yangu yamekuwa chakula changu 2 usiku na mchana, 1 huku watu wakiniambia mchana kutwa, 2 “Yuko wapi Mungu wako?” 1
Psalms 102:9Ninakula majivu kama chakula changu 2 na nimechanganya kinywaji changu na machozi 1
Lamentations 3:8Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, 2 anakataa kupokea maombi yangu. 1