Ayubu 30:20
“Ee Bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu; 2 ninasimama, nawe unanitazama tu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I cry unto thee, and thou dost not hear me: I stand up, and thou regardest me not.
In Context
19Yeye amenitupa kwenye matope, 2 nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. 1
21Wewe unanigeukia bila huruma; 2 unanishambulia kwa nguvu za mkono wako. 1
Cross References
Job 19:7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; 2 ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 1
Psalms 22:2Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, 2 hata usiku, sinyamazi. 1
Psalms 80:4Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, 2 hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi 2 dhidi ya maombi ya watu wako? 1
Lamentations 3:8Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, 2 anakataa kupokea maombi yangu. 1
Matthew 15:23Lakini Yesu hakumjibu neno. Hivyo wanafunzi wake wakamwendea na kumsihi sana, wakisema, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele.”