Lamentations 3:8
Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, 2 anakataa kupokea maombi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Also when I cry and shout, he shutteth out my prayer.
In Context
7Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, 2 amenifunga kwa minyororo mizito. 1
9Ameizuia njia yangu kwa mapande ya mawe, 2 amepotosha njia zangu. 1
Cross References
Job 30:20“Ee Bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu; 2 ninasimama, nawe unanitazama tu. 1
Psalms 80:4Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, 2 hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi 2 dhidi ya maombi ya watu wako? 1
Lamentations 3:44Unajifunika mwenyewe kwa wingu, 2 ili pasiwe na ombi 2 litakaloweza kupenya. 1
Matthew 27:46Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)