Ayubu 19:7
“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; 2 ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, I cry out of wrong, but I am not heard: I cry aloud, but there is no judgment.
In Context
6basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, 2 naye amekokota wavu wake kunizunguka. 1
8Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; 2 ameyafunika mapito yangu na giza. 1
Cross References
Job 9:24Wakati nchi inapoangukia mikononi mwa waovu, 2 yeye huwafunga macho mahakimu wake. 2 Kama si yeye, basi ni nani? 1
Job 10:3Je, inakupendeza wewe kunionea, 2 kuikataa kwa dharau kazi ya mikono yako, 2 huku wewe ukitabasamu juu ya mipango ya waovu? 1
Job 13:15Ingawa ataniua, bado nitamtumaini; 2 hakika nitazitetea njia zangu mbele zake. 1
Job 16:21kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu 2 kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake. 1
Job 23:3Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; 2 laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! 1
Job 31:35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! 2 Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: 2 Mwenyezi na anijibu; 1 mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 1