Ayubu 30:22
Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo; 2 umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou liftest me up to the wind; thou causest me to ride upon it, and dissolvest my substance.
In Context
21Wewe unanigeukia bila huruma; 2 unanishambulia kwa nguvu za mkono wako. 1
23Ninajua utanileta mpaka kifoni, 2 mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 1
Cross References
Job 21:18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1
Psalms 1:4Sivyo walivyo waovu! 2 Wao ni kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo. 1
Psalms 104:3na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. 1 Huyafanya mawingu kuwa gari lake, 2 na hupanda kwenye mbawa za upepo. 1
Jeremiah 4:11Wakati huo watu hawa na Yerusalemu wataambiwa, “Upepo wa moto kutoka miinuko iliyo kame katika jangwa unavuma kuelekea watu wangu, lakini sio kupepeta au kutakasa,
Hosea 4:19Kisulisuli kitawafagilia mbali 2 na dhabihu zao zitawaletea aibu.