Job 21:18
Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They are as stubble before the wind, and as chaff that the storm carrieth away.
In Context
Cross References
Exodus 15:7Katika ukuu wa utukufu wako, 2 ukawaangusha chini wale waliokupinga. 1 Uliachia hasira yako kali, 2 ikawateketeza kama kapi. 1
Job 27:21Upepo mkali wa mashariki humchukua, naye hutoweka; 2 humzoa kutoka mahali pake. 1
Psalms 35:5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, 2 malaika wa Bwana akiwafukuza. 1
Psalms 83:14Kama vile moto uteketezavyo msitu 2 au mwali wa moto unavyounguza milima, 1
Isaiah 17:13Ingawa mataifa yanavuma kama ngurumo za maji yanayofanya mawimbi, 2 wakati anapoyakemea yanakimbia mbali, 1 yanafukuzwa mbele ya upepo kama makapi juu ya milima, 2 kama jani livingirishwapo na dhoruba. 1
Isaiah 40:24Mara baada ya kupandwa, 2 mara baada ya kutiwa ardhini, 2 mara baada ya kutoa mizizi yao ardhini, 1 ndipo huwapulizia nao wakanyauka, 2 nao upepo wa kisulisuli 2 huwapeperusha kama makapi. 1