Hosea 4:19
Kisulisuli kitawafagilia mbali 2 na dhabihu zao zitawaletea aibu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wind hath bound her up in her wings, and they shall be ashamed because of their sacrifices.
In Context
Cross References
Isaiah 1:29“Mtaaibika kwa sababu ya hiyo mialoni 2 ambayo mlifurahia, 1 mtafadhaika kwa sababu ya bustani 2 mlizozichagua. 1
Jeremiah 2:26“Kama vile mwizi aaibikavyo wakati amekamatwa, 2 hivyo ndivyo nyumba ya Israeli inavyoaibishwa: 1 wao wenyewe, wafalme wao na maafisa wao, 2 makuhani wao na manabii wao. 1
Jeremiah 3:24Tangu ujana wetu miungu ya aibu imeyala 2 matunda ya kazi za baba zetu: 1 makundi yao ya kondoo na ngʼombe, 2 wana wao na binti zao. 1
Jeremiah 17:13Ee Bwana, uliye tumaini la Israeli, 2 wote wakuachao wataaibika. 1 Wale wanaogeukia mbali nawe wataandikwa mavumbini 2 kwa sababu wamemwacha Bwana, 2 chemchemi ya maji yaliyo hai. 1
Hosea 10:6Itachukuliwa kwenda Ashuru 2 kama ushuru kwa mfalme mkuu. 1 Efraimu atafedheheshwa; 2 Israeli ataaibika kwa ajili ya sanamu zake za mti. 1
Hosea 12:1Efraimu anajilisha upepo; 2 hufukuzia upepo wa mashariki kutwa nzima 2 na kuzidisha uongo na jeuri. 1 Anafanya mkataba na Ashuru 2 na kutuma mafuta ya zeituni Misri. 1