Ayubu 30:30
Ngozi yangu imekuwa nyeusi nayo inachunika; 2 mifupa yangu inaungua kwa homa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My skin is black upon me, and my bones are burned with heat.
In Context
29Nimekuwa ndugu wa mbweha, 2 rafiki wa mabundi. 1
31Kinubi changu kimegeuka kuwa maombolezo, 2 nayo filimbi yangu imekuwa sauti ya kilio.
Cross References
Psalms 102:3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, 2 mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 1
Psalms 119:83Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, 2 bado sijasahau maagizo yako. 1
Lamentations 4:8Lakini sasa ni weusi kuliko masizi; 2 hawatambulikani barabarani. 1 Ngozi yao imeshikamana juu ya mifupa yao, 2 imekuwa mikavu kama fimbo. 1