The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 4 › Lamentations 4:8

Lamentations 4:8

Lakini sasa ni weusi kuliko masizi; 2 hawatambulikani barabarani. 1 Ngozi yao imeshikamana juu ya mifupa yao, 2 imekuwa mikavu kama fimbo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Their visage is blacker than a coal; they are not known in the streets: their skin cleaveth to their bones; it is withered, it is become like a stick.

In Context

7Wakuu wao walikuwa wamengʼaa kuliko theluji 2 na weupe kuliko maziwa, 1 miili yao ilikuwa myekundu kuliko marijani, 2 kuonekana kwao kama yakuti samawi. 1

9Wale waliouawa kwa upanga ni bora 2 kuliko wale wanaokufa njaa; 1 wanateseka kwa njaa, wanatokomea 2 kwa kukosa chakula kutoka shambani. 1

Read all of Lamentations 4

Cross References

Job 2:12Walipomwona kwa mbali, ilikuwa vigumu kumtambua. Wakaanza kulia kwa sauti kubwa, wakayararua majoho yao na kujirushia mavumbi juu ya vichwa vyao.

Job 30:17Usiku mifupa yangu inachoma; 2 maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 1

Job 33:21Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, 2 nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, 2 sasa inatokeza nje. 1

Psalms 38:3Hakuna afya mwilini mwangu 2 kwa sababu ya ghadhabu yako, 1 mifupa yangu haina uzima 2 kwa sababu ya dhambi zangu. 1

Psalms 102:11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, 2 ninanyauka kama jani. 1

Isaiah 52:14Kama walivyokuwa wengi 2 walioshangazwa naye, 1 kwani uso wake ulikuwa umeharibiwa sana 2 zaidi ya mtu yeyote 1 na umbo lake kuharibiwa 2 zaidi ya mfano wa mwanadamu: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 4:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 4:7Lamentations 4Lamentations 4:9 →