The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 30 › Ayubu 30:31

Ayubu 30:31

Kinubi changu kimegeuka kuwa maombolezo, 2 nayo filimbi yangu imekuwa sauti ya kilio.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My harp also is turned to mourning, and my organ into the voice of them that weep.

In Context

30Ngozi yangu imekuwa nyeusi nayo inachunika; 2 mifupa yangu inaungua kwa homa. 1

Read all of Ayubu 30

Cross References

Psalms 137:1Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza 2 tulipokumbuka Sayuni. 1

Isaiah 21:4Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1

Isaiah 24:7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, 2 watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 1

Daniel 6:18Kisha mfalme akarudi kwenye jumba lake la kifalme, naye usiku kucha hakula chakula wala kutumia viburudisho alivyoletewa. Lakini hakuweza kulala.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 30:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 30:30Ayubu 30