Ayubu 31:10
basi mke wangu na asage nafaka ya mwanaume mwingine, 2 nao wanaume wengine walale naye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then let my wife grind unto another, and let others bow down upon her.
In Context
9“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, 2 au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu, 1
11Kwa kuwa hilo lingekuwa aibu, 2 naam, dhambi ya kuhukumiwa. 1
Cross References
Exodus 11:5Kila mwanaume kifungua mimba katika Misri atakufa, kuanzia mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Farao, aketiye penye kiti cha ufalme, hadi mzaliwa wa kwanza wa kiume wa mtumwa wa kike, anayesaga nafaka kwa jiwe, pamoja na kila mzaliwa wa kwanza wa mifugo.
2 Samuel 12:11“Hili ndilo asemalo Bwana: ‘Kutoka kwa nyumba yako mwenyewe nitaleta maafa juu yako. Mbele ya macho yako mwenyewe nitatwaa wake zako na kumpa yeye aliye wa karibu nawe, naye atakutana kimwili na wake zako mchana mwangavu.
Job 31:22basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu, 2 nao na uvunjike kutoka kiungio chake. 1
Jeremiah 8:10Kwa hiyo nitawapa watu wengine wake zao, 2 na mashamba yao kwa wamiliki wengine. 1 Kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkubwa kabisa, 2 wote wana tamaa ya kupata zaidi; 1 manabii na makuhani wanafanana, 2 wote wanafanya udanganyifu. 1
Matthew 24:41Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.