Mathayo 24:41
Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Two women shall be grinding at the mill; the one shall be taken, and the other left.
In Context
40Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
42“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.
Cross References
Isaiah 47:2Chukua mawe ya kusagia, usage unga, 2 vua shela yako. 1 Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, 2 vuka vijito kwa shida. 1