The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 31 › Ayubu 31:9

Ayubu 31:9

“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, 2 au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If mine heart have been deceived by a woman, or if I have laid wait at my neighbour’s door;

In Context

8basi wengine na wale nilichokipanda, 2 nayo yale yote niliyootesha na yangʼolewe. 1

10basi mke wangu na asage nafaka ya mwanaume mwingine, 2 nao wanaume wengine walale naye. 1

Read all of Ayubu 31

Cross References

Deuteronomy 5:21Usitamani mke wa jirani yako. Usitamani nyumba ya jirani yako au shamba lake, mtumishi wake wa kiume au wa kike, ngʼombe au punda wake, wala kitu chochote cha jirani yako.”

1 Kings 11:4Kadiri Solomoni alivyozidi kuzeeka, wake zake wakaugeuza moyo wake kuelekea miungu mingine, na moyo wake haukujitolea kikamilifu kwa Bwana Mungu wake, kama ulivyokuwa moyo wa Daudi baba yake.

Job 24:15Jicho la mzinzi hungojea wakati wa giza, 2 naye hufikiri, ‘Hakuna jicho litakaloniona,’ 2 naye huuficha uso wake. 1

Proverbs 5:3Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba 2 hudondoza asali, 1 na maneno ya kinywa chake 2 ni laini kuliko mafuta; 1

Proverbs 6:27Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake 2 bila nguo zake kuungua? 1

Proverbs 22:14Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; 2 yeye aliye chini ya ghadhabu ya Bwana 2 atatumbukia ndani yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 31:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 31:8Ayubu 31Ayubu 31:10 →