The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 31 › Ayubu 31:14

Ayubu 31:14

nitafanya nini Mungu atakaponikabili? 2 Nitamjibu nini nitakapoitwa kutoa hesabu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

What then shall I do when God riseth up? and when he visiteth, what shall I answer him?

In Context

13“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, 2 walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu, 1

15Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, 2 si ndiye aliwaumba? 1 Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote 2 ndani ya mama zetu? 1

Read all of Ayubu 31

Cross References

Leviticus 25:43Usiwatawale kwa ukatili, lakini utamcha Mungu wako.

Job 10:2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1

Psalms 9:12Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka, 2 hapuuzi kilio cha wanaoonewa. 1

Psalms 10:12Inuka Bwana! Inua mkono wako, Ee Mungu. 2 Usiwasahau wanyonge. 1

Psalms 76:9wakati wewe, Ee Mungu, ulipoinuka kuhukumu, 2 kuwaokoa wote walioonewa katika nchi. 1

Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 31:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 31:13Ayubu 31Ayubu 31:15 →